Talk:Baraza la Kiswahili la Taifa
From Wikipedia, the free encyclopedia
kazi za baraza la kiswahili Tanzania ni kamaifuatavyo kushawishi serikali katika kukuza utamaduni wa kiswwahili kuwaapamori watunziwavitabu vya kiswahili kupitia na kuhakikimajalida mbalimbali ya kuendelezakiswahili na kutuza utamaduni kiswhili kuandaa kamusi mpya zinazokwenda na wakati kukizi mahitaji ya walengwa kuandaa mikakati mbadala juu ya mfumo wa lugha kiswahili kuandaa semina za kelimisha walimu wa kiswahili nanguka 17:55, 29 September 2007 (UTC)haji saidi

